Kwenye Bio ni mtandao unakupa nafasi ya kutengeneza kurasa ambazo unaweza kuweka link zako za muhimu unazotaka kushiriki na hadhira yako.
Ukurasa wa kwenye bio unaweza kutumika kwenye majukwaa ya kijamii au social media kama Instagram, TikTok, Twitch, Facebook, YouTube, Twitter, au hata LinkedIn. Pia unaweza kutumia kwenye bio kutangaza na kuonyesha kuhusu kazi zako binafsi au brand yako au hata kampuni.
