Jamii forums ni moja kati ya mitandao mikubwa sana hapa Tanzania, mtandao huu umeanzishwa mwaka 2006 na tokea kipindi hicho mtandao huo umefanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Katika kufanikiwa huku, mtandao wa Jamii forums pia umefanikiwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii huku akaunti za mitandao ya kijamii ya jamii forums ikiwa inatagemewa na watu wengi kwa ajili ya kuhabarisha umma.

Tukiwa moja wa wafuatiliaji wa mtandao huu kwenye mitandao ya kijamii, tumetengeneza kwenye bio link ya mtandao huu ambayo hadi sasa bado haiendeshwi na mtu kutoka jamii forums lakini pengine tunategemea hilo siku za karibuni.

Unaweza kuona ukurasa huo kupitia picha hapo chini, au unaweza kubofya link hapo chini kuweza kuona Live ukurasa huu wa jamii forums ikiwa pamoja na mfano wa vitu ambayo unaweza kufanya kwenye akaunti yako.

enter image description here

Unaweza kutembelea ukurasa huu hapa.