kwenye.bio

Ni wazi kuwa hiki ni kipindi cha mitandao ya kijamii, na kama wewe ni mmoja wa watu ambao ni watumiaji bora wa mitandao ya kijamii basi ni wazi kuwa unafahamu umuhimu wa kuwa na tovuti au link muhimu.

Mara nyingi sana umekuwa ukisikia nano "link kwenye bio" na pengine kwa namna moja ama nyingine ulikuwa hujui nini maana yake, kama ulikuwa hujui basi sasa ni rahisi sana kuelekewa.

Tanzania Tech Media kwa kushirikiana na Kwenye Bio Online tunakuletea kwenye.bio au kwenye.bio. Hii ni tovuti mpya ambayo inakupa uwezo wa kutengeneza biolink kwaajili ya kuweka kwenye mitandao yako mbalimbali ya kijamii.

Mfano wa kurasa ya Bio ya Tanzania Tech

Kama unavyoweza kuona, ukurasa huu unapatikana kwenye link hii ya kwenye.bio/tanzaniatech au kwenye.bio/tanzaniatech

Unaweza kufanya mambo mbalimbali kwa kutumia link yako kwa urahisi na haraka, unaweza kujifunza mambo yote kupitia ukurasa wetu wa msaada hapa.

Unaweza kujiunga moja kwa moja kupitia HAPA