Mitandao ya kijamii imekuwa na nguvu kubwa sana siku hizi, hii ndio sababu ya kuwepo kwa tovuti ya kwenye bio ambayo inakupa uwezo wa kutumia link zaidi ya moja kwenye mitandao ya kijamii.

Kupitia makala hii nimekuletea list ya Watanzania 10 maarufu zaidi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

diamondi platnumz on BET (2021)

Hii ina maana kuwa, hii ndio list ya Watanzania wenye follower wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram hadi sasa mwezi January 2022.

Kumbuka list hii inaweza kubadilika muda wowote hivyo hakikisha unatembelea ukurasa huu mara kwa mara kujua zaidi.

Akaunti Zenye Followers Wengi Instagram Tanzania - (December 2021 - January 2022)

Username Instagram Followers
@diamondplatnumz 13.8M Followers
@millardayo 10.6M Followers
@wemasepetu 9.3M Followers
@hamisamobetto 8.9M Followers
@officialshilole 8.6M Followers
@jokatemwegelo 8.2M Followers
@vanessamdee 7.9M Followers
@harmonize_tz 7.8M Followers
@officialalikiba 7.7M Followers

Na hizo ndio akaunti za watanzania zenye followers wengi zaidi kupitia mtandao wa Instagram, unaweza kusoma zaidi list hii hadi kufikia watu 50 hapa.

Hakikisha kama bado hujatengeneza Bio page yako hakikisha unafanya hivyo kupitia kwenye bio kwa kubofya sehemu ya Register, ni rahisi na haraka.