Dmjema
Dmjema
Dmjema
@dmjema_com
Click here to add a brief summary about your page to get your audience interested in what you do.
MAMBO YA KUFANYA KATIKA MAISHA
Maisha ni safali ndefu ambayo mtu anapitia katika halakati za kujikwamua katika maendeleo. Mambo matano(5) ya kufanya ili uweze kujikwamua katika maisha 
  1. KUWA NA BAJETI. Kuweka BAJETI kunaweza kukusaidia kujikwamua katika maisha kwa sababu ya kujibageti na kujizuia kutamanitamani kitu unacho kiona
  2. KUJITUMA. kitendo cha kujituma kunaweza kukusaidia wewe kujikwamua katika maisha kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali
  3. KUWAMVUMILIVU. katika maisha yapo mambo mbali Bali ambayo yanaweza kukuuzi ila cha kufanya wewe ni kuwamvumilivi kwa kila jambo wa Swahili wanasema"mvumilivi hula mbivu"
  4. KUTOMDHARAU MTU. ujue katika maisha watu wengi hupotea kwa kuwa na dharau kwa maana unaweza kumzarau mtu ambaye atakuja kukusaidia katika harakati za kutafuta maixha
  5. KUWA NA HOFU YA MUNGU. katika harakati za hapa na pale za kila siku bila kumtegemea yeye muumba wetu ni Sawa na bure kwa hiyo unatakiwa kuwa na hofu ya mungu ili ufanikiwe. Yaani kwa maana tunatakiwa kumuomba yeye kwa kila jambo kwa sababu yeye ndoo muumba wetu. 
Dmjema

Dmjema

Click here to add a brief summary about your page to get your audience interested in what you do.